Kikokoda

Kikokoda ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wakokoda. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kikokoda imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikokoda iko katika kundi la “South Bird's Head”.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search